Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
- Thread starter
- #361
Kipindi cha pili kimeanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamechomoa aiseeMatch Day , shirikishoView attachment 3172032
View attachment 3171643
Vikosi vya leo
Simba View attachment 3172377
Constantine
View attachment 3172373
MPIRA USHAANZA 1900hrs kwa mida ya Tanzania
kipindi cha kwanza kimeanza
2' Constantine 0-0 Simba
24' GOOOAL M Hussein anafunga goli
Cs Constantine 0-1 Simba
29' Camara yuko chini akipatiwa matibabu baada ya kugongana na machezaji wa Constantine
45' kona ya tatu wanapata Constantine lakini camara anakuwa imara anadaka mpira
Mpira Mapumziko
HT CS CONSTANTINE 0-1 SIMBA SC
Kipindi cha pili kimeanza
45' Constantine 0-1 Simba sc
mmejiweka wenyeweTumejifunga. Hamza.
wamejiweka wenyewe 🤣🤣Aposto Nini kimetokea😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
Acha tummejiweka wenyewe
duuuuAcha tu
Wamenogewa na coca-cola 😄😃😃😃😃😃wamejiweka wenyewe 🤣🤣
Nitaamini usemayo ikiwa utanipa bei ya kende zako na utanielekeza ni wapi ulizinunua.Yupo wapi?
Huyo Mungu yupo kichwani kwako tu kwenye mawazo yako, ila kiuhalisia hayupo na hajawahi kuwepo.
Sawa endelea kua nayo hakuna tatizoUto matokeo yenu ya jana tunayo msijifiche kwenye kivuli cha Constantine