Full Time: CS Constantine 2-1 Simba Sc | CAF confederation cup| December 8, 2024

Full Time: CS Constantine 2-1 Simba Sc | CAF confederation cup| December 8, 2024

Match Day , shirikishoView attachment 3172032

View attachment 3171643
Vikosi vya leo

Simba View attachment 3172377

Constantine
View attachment 3172373
MPIRA USHAANZA 1900hrs kwa mida ya Tanzania

kipindi cha kwanza kimeanza
2' Constantine 0-0 Simba

24' GOOOAL M Hussein anafunga goli

Cs Constantine 0-1 Simba

29' Camara yuko chini akipatiwa matibabu baada ya kugongana na machezaji wa Constantine

45' kona ya tatu wanapata Constantine lakini camara anakuwa imara anadaka mpira

Mpira Mapumziko

HT CS CONSTANTINE 0-1 SIMBA SC

Kipindi cha pili kimeanza
45' Constantine 0-1 Simba sc

46' Goal Hamza Abdulzazak anajifunga Constantine 1-1 Simba sc

50' Brahim dib anafunga Goal Constantine 2-1 Simba sc
Timu nyingine ya Bongo ambayo Huwa inabebwa Ligi kuu Kwa kuzionea Timu ndogo inaenda kudhalikika kama wenzie wa Jana 😁😁😁😁

Mpaka hapo mtakapoacha kuhongwa kina ndaragija ndio mtashinda
 
Dakika ya 60 Kibu anashambulia anaangushwa..ni Faulo kuelekea CSC

Inapigwa pale na Ahoua Jean njeeee

Matokeo bado ni 2 kwa 1... Wenyeji wanaongoza
 
Back
Top Bottom