Wewe utakuwa jobless umepoteza mdaSisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC.
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio (Visababu) SC.
25. Manguruwe SC.View attachment 3172617
Hoja sio idadi ya viporo bali Mc Alger akishinda kiporo chake atakuwa anaongoza ligi.MC alger ana Pungufu ya mchezo mmoja tu
kachungulie msimamo mkuu alafu ulete mrejesho 15Dec sio mbaliSio Leo Toka zamani mnyama kalambwa ugeniniView attachment 3172544
We usiotumika kisiasa umefanywa nini?Hizi timu sizipendi yanga na simba naomba zifungwe mechi zote na ligi kuu zifungwe
Zinatumika kisiasa
Sio ujuaji huo ndo ukweli.We usiotumika kisiasa umefanywa nini?
Mnapenda ujuaji
Hamna ukweli wowoteSio ujuaji huo ndo ukweli.
Achana na msimamo mkuukachungulie msimamo mkuu alafu ulete mrejesho 15Dec sio mbali
Hamna ukweli wowote
Hizi timu zipo Toka mkoloni, uhuru umezikuta, CCM imezikuta, na CCM ukitoka itaziacha
Haya mtani, tusalimiane. Sisi wote dugu moya😄😀😃😂
🤣🤣🤣Ndio ushabiki mkuu acha makasiriko usijilinganishe na Simba mwenye point 3 alafu huna point hivo ni vitu viwili tofauti kabisaa CL &CCL ni kipimo cha ukubwa so bado mko kwenye kipimoAchana na msimamo mkuu
Mkuu mbona sijakasirika shida inaaanza wewe unafosi furaha na jana umelambwa huko uarabuni hoja sio point hoja ni kwamba umepoteza usijifiche kwenye point kubali kufungwa jana Kwel goal 2 dakika 4 ni maajabu😂😂😂🤣🤣🤣Ndio ushabiki mkuu acha makasiriko usijilinganishe na Simba mwenye point 3 alafu huna point hivo ni vitu viwili tofauti kabisaa CL &CCL ni kipimo cha ukubwa so bado mko kwenye kipimo
mimi sijakataa kweli nimefungwa ila shida ni wewe kujilinganisha na mtu mwenye point ingali wewe huna point na wa mwisho kwenye tableMkuu mbona sijakasirika shida inaaanza wewe unafosi furaha na jana umelambwa huko uarabuni hoja sio point hoja ni kwamba umepoteza usijifiche kwenye point kubali kufungwa jana Kwel goal 2 dakika 4 ni maajabu😂😂😂
Wa mwisho kwenye table pia usilinganishe aina ya michuano,,wewe upo kwenye shirikisho wenzako wapo kwa mabingwa watupu,,timu unazokutana nazo intensity yao na klabu bingwa ni tofauti kabisa ivyo hoja ya kuwa na point Haina mashiko,,na hizo point ulizipata kwa kuchezaje,,performance ilikuwa ya ovyo kama sio umakini mdogo wa mpinzani wako ulikuwa unapigika,,goli la penalty uwezi kulinga nalo ata kidogo!mimi sijakataa kweli nimefungwa ila shida ni wewe kujilinganisha na mtu mwenye point ingali wewe huna point na wa mwisho kwenye table
🤣🤣 kwa kweeli.Haya mtani, tusalimiane. Sisi wote dugu moya😄😀😃😂
Ficha uchi wako mkuu 98yrs hujashiriki CL wakat ambapo Simba ameshirika sanaa leo hii unakuja kuongea utumbo wako basi sawa huyo MC Alger yupo nafasi ya ngap kwenye ligi yao round ya 11 hii na amewakanda 2mbili📌🚮Wa mwisho kwenye table pia usilinganishe aina ya michuano,,wewe upo kwenye shirikisho wenzako wapo kwa mabingwa watupu,,timu unazokutana nazo intensity yao na klabu bingwa ni tofauti kabisa ivyo hoja ya kuwa na point Haina mashiko,,na hizo point ulizipata kwa kuchezaje,,performance ilikuwa ya ovyo kama sio umakini mdogo wa mpinzani wako ulikuwa unapigika,,goli la penalty uwezi kulinga nalo ata kidogo!
Uliposhiriki sana umeachieve kitu Gani? Labda nikupe takwimu yanga ndani ya misimu miwili aliyofanikiwa kufanya vizuri kwenye michuano ya kimataifa kakusanya alama 28+,,Simba ndani ya misimu 6 aliyofanikiwa kufanya vizuri kakusanya alama 35,,na bado ndani ya misimu 2 aliyofanya vizuri yanga kacheza fainali ya kikombe icho cha ushirikishwaji na Tena akimpiga mwarabu ndani ya ardhi yake na kukosa kombe kwa kanuni but Simba aliishia robo fainali ya icho kikombe kwa aibu kwa kuchoma moto uwanja wa watu,,Ficha uchi wako mkuu 98yrs hujashiriki CL wakat ambapo Simba ameshirika sanaa leo hii unakuja kuongea utumbo wako basi sawa huyo MC Alger yupo nafasi ya ngap kwenye ligi yao round ya 11 hii na amewakanda 2mbili📌🚮
Sisi ndiyo Simba SC AKA;Wewe utakuwa jobless umepoteza mda
Tatizo lenu ni kuji compare na simba ndio kinachowaumiza vichwa rejea kwenye mahojiano ya Ali kamwe alishasema hili nadhani umeandika kwa jazba sanaa kisa tumewaacha mbali eti mmetolewa kikanuni acheni kujificha kwenye kanuni kama ni fainali hata sisi tulishafika fainali CL na sio CCL Mkuu acha kujilinganisha simba iko mbali sanaa sio kwa rank wala pointUliposhiriki sana umeachieve kitu Gani? Labda nikupe takwimu yanga ndani ya misimu miwili aliyofanikiwa kufanya vizuri kwenye michuano ya kimataifa kakusanya alama 28+,,Simba ndani ya misimu 6 aliyofanikiwa kufanya vizuri kakusanya alama 35,,na bado ndani ya misimu 2 aliyofanya vizuri yanga kacheza fainali ya kikombe icho cha ushirikishwaji na Tena akimpiga mwarabu ndani ya ardhi yake na kukosa kombe kwa kanuni but Simba aliishia robo fainali ya icho kikombe kwa aibu kwa kuchoma moto uwanja wa watu,,
Unapoongelea Mc alger ndio bingwa mtetezi wa ligi ya Algeria,,Rudi kapekue rekodi zako utajua ligi ya Algeria ni ligi namba ngapi kwa ubora barani Africa,
Nadhani utakuwa umenielewa vizuri otherwise uwe na lako jambo kichwani!!