Full Time: CS Constantine 2-1 Simba Sc | CAF confederation cup| December 8, 2024

Kweli mnyama atafuzu?, mana costantine ana point 6
 
Tupe msimamo makundi

Mie mpira nafuatilia wakati mechi inaendelea, baada ya hapomambo ya mpira yanaishia hapo hapo.

Hivyo sikuelewi tunaulizia makundi ya mashindano yapi na nna uhakika Sina majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…