kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Wembe uliomnyoa yanga ni huo huo utatumika ila umeongezewa makali. Tuombe tu usiondoke na ngozi, mnyoaji anyoe taratibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa topolo ni shida, we acha tu. Hata namna ya kuandika mechi hatujui.Simba 1 - Constantine 2
Amka kumekuchaLeo Simba anakula mkono
Ambaye akili yake haipo sawa na wewe usiye amini uwepo wa Mungu ilhali una kende na kisogo na hujui aliyekupatia ni nani.. Au unadhani hicho kisogo chako kinauzwa dukani?inaonesha akili yako ilivyo na haupo sawa sawa
Mmejaza viungo ,beki wa kutosha lakini hamtashinda
Kila la heri kwa wawakilishi halisi wa kimatifa na waleta furaha Tanzania
Mnyama Mkubwa Mwituni chukua alama zako 3 hapo ugenini, urudishe heshima ya nchi iliyochafuliwa na Utopolo🦁🦁🦁🦁View attachment 3171769
Subirini kipigoMechi ngumu wana lunyasi. All the best 🦁🦁
Huu wembe utatoka na figo kabisaWembe uliomnyoa yanga ni huo huo utatumika ila umeongezewa makali. Tuombe tu usiondoke na ngozi, mnyoaji anyoe taratibu.
Acheni roho za ki utoHuu wembe utatoka na figo kabisa
Kikubwa matokeo mazuriKikosi cha Kushika Bomba
Tuliza msambwanda.Acheni roho za ki uto
Ngoja tuwagonge Constantine na nyie wapambe wakeTuliza msambwanda.