min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Jana sikujua kama mnacheza mkuu nimeona tu mda huu humu ,kumbe mlikandwa😊😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana sikujua kama mnacheza mkuu nimeona tu mda huu humu ,kumbe mlikandwa😊😁😁
Baadae utajua tuJana sikujua kama mnacheza mkuu nimeona tu mda huu humu ,kumbe mlikandwa😊😁😁
Inachezwa mda gani mkuu?Baadae utajua tu
Saa 1 kamili usiku kwa saa za AFRICA MASHARIKIInachezwa mda gani mkuu?
Leo Taifa halitatiwa Aibu, MUNGU ni wetu sote.
Saa moja usikuInachezwa mda gani mkuu?
Usisahau kutupa Real time / on-time updates za mechi sio unakimbia uzi mkuu
Acha bangeInachezwa mda gani mkuu?
Mungu yupi 😀Leo Taifa halitatiwa Aibu, MUNGU ni wetu sote.
Nimeipenda
😀😀😀😀 Mdaka mishalee
Wa Kizimkazi Ndugu yanguMungu yupi 😀
Hapo sawaWa Kizimkazi Ndugu yangu
Naona ulisahau kidogo, nikaona sio mbaya kukumbushanaHapo sawa
Waarabu wakiwa kwao,