Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kha?! Hata ' Janaba' hujaoga unakitembeza kwa jirani?! Acha umbea.Karibuni katika mechi hii ya kombe la Shirikisho Africa kati ya Mwenyeji CS Constantine dhidi ya Simba Sc inayochezwa katika dimba la Mohamed Hamlaoui (Algiers - Algeria)
Ni mechi ya mzunguko wa pili kwa timu hizi mbili..
Mechi ya kwanza CS Constantine walishinda 1-0 dhidi ya CS Sfaxien huku Simba SC wakiwafunga FC Bravos bao 1-0
Je nini kitatokea leo? Kuwa nami mwanzo hadi mwisho wa kipute hiki
#TotalEnergies
#CAFCC
Naunga mkono hojaConstantine 3-0 Simba
Kuna watu kazi yao ni kuliaibisha Taifa letu la Tanzania na wanawapa kazi Simba kulisafisha!Taifa litafutwa machozi baadae
Ohh Utopolo tunacheza mjini..kikowapi?Naunga mkono hoja
🤣🤣🤣Kha?! Hata ' Janaba' hujaoga unakitembeza kwa jirani?! Acha umbea.
SawaConstantine 3-0 Simba
Constantine 3-0 Simba
Alafu wanatakiwa warudi leo leo bongo hatutaki kuona nzi wa kijani AlgeriaMigambo tumewatuma vitani wamekufa acha wajeda tuingie wenyewe sasa