Full Time: CS Constantine 2-1 Simba Sc | CAF confederation cup| December 8, 2024

Full Time: CS Constantine 2-1 Simba Sc | CAF confederation cup| December 8, 2024

Simba nii simba haijalishi atakua sehemu gani
Simba🦁 nguvu moja :ACTINUP::02Hype:
GdXR98cW0AAzlKt.jpeg
 
Karibuni katika mechi hii ya kombe la Shirikisho Africa kati ya Mwenyeji CS Constantine dhidi ya Simba Sc inayochezwa katika dimba la Mohamed Hamlaoui (Algiers - Algeria)

Ni mechi ya mzunguko wa pili kwa timu hizi mbili..

Mechi ya kwanza CS Constantine walishinda 1-0 dhidi ya CS Sfaxien huku Simba SC wakiwafunga FC Bravos bao 1-0

Je nini kitatokea leo? Kuwa nami mwanzo hadi mwisho wa kipute hiki

#TotalEnergies
#CAFCC
Kha?! Hata ' Janaba' hujaoga unakitembeza kwa jirani?! Acha umbea.
 
Back
Top Bottom