Vipi mhasibu umeoteshwa nini juu ya mchezo wenu leo hiiNaangalia jinsi penati ya Bravo ilivyotokea. Nakiri wazi Kibu sio mchezaji. Sijui kilitumika kigezo gani kumsajili kwa pesa yote ile. Yaani kafika tu kambutua mpinzani bila kuangalia athari
Taifa ilishapata aibu jana. Haliwezi kujirudiaKuna dalili za Taifa kupata aibu leo