Full Time: CS Constantine 2-1 Simba Sc | CAF confederation cup| December 8, 2024

Full Time: CS Constantine 2-1 Simba Sc | CAF confederation cup| December 8, 2024

Sasa mtulie na hiyo midomo yenu kama ya chuchunge. Hamna timu ya kueleweka ila kelele tu, tena wamewastahi hapa ilikuwa ni 4+
 
Naangalia marudio hapa

Simba wanakaribia kuchomoa goli hapa kibu bado kidogo afunge nadhani simba watachomoa
 
Back
Top Bottom