Amani Benson
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 658
- 1,502
Malalamiko fc mmeanzaAliyetoa Assist, halafu kwa eneo lile ilipaswa kuwekwe ukuta kisha ndio ipigwe faulo. Au siku hizi faulo, wachezaji wanaruhusiwa kuanzisha kihuni tu?
Siku hio ndio wata ng'oa vitiπ€£ waache wabebwe ivo ivo ila siku tukikutana nao ndo watajua hawajuiiii
Dah ni huzuniChasambi kajifunga
Haha refa amalize mpira,tunakaa mbaliMalipo ni hapahapa duniani, mmewapa goli wenyewe sasa.
Lakini Camara angekuwa yupo golini angeweza kuuzuia ule mpira.Aiseee huyu Chasambi alianza vizuri ila kwa sasa inabidi tu afanyiwe sub kumpunguzia pressure
wanaleta mambo ya waarabuWashaanza kulala kupoteza muda
huna iyo timu bila msaada wa refaMsilalamike Hawa tunawamudu tutaenda nao jino kwa jino mpaka watatema bungo,,ni mwendo wa kutoa dozi tu iwe goli la mkono ama vinginevyo tuone mwisho wa msimu nani bingwa
Jichekeshe tena chasambi kashawatia jiti kenge wwuto fountain gate mmeenda kuficha wapi vinyeo vyenu