LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,255
- 6,252
Kabusaa.Siku mbaya kazini
Dakika Tisa za nyongeza mkuuIna maana mechi haijaisha? Aisee
Mwqmba katia hela yaa kodi hahahahahaha. Machozi yanamtokaHaya matokeo yanafadhaisha wakamaria.
Pole sana kwao.
angalia usijinyonge tuBora nirushe zangu kindege tu
9 kusudi refa apate muda wa kutosha kutoa goli kwa Simba ?Dakika 9 zimeongezwa
9+4?Dakika 9 duuh
Simba lazima afunge mawiliDakika 9 duuh