Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025

Leo n vichekesho vya hali ya juu kipa kapewa kadi nyekundu!!!!!
 
Marefa wabongo bana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na sub wamezimaliza kwa hiyo hapo lazima mchezaji wa ndani aingie kuziba nafasi ya kipa
 
Mipango yote afu wanatoa droo kwel siku ya kufa kwa nyani miti yote inateleza shenzi
 
Sasa Refa ni Simba mnategemea nini 🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…