Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025

Mpira umesimama na kipa bado hajatoka uwanjani
 
Ila kipa wa fountain hivyo sana..
 
Man of the match ya kipa ime change imekuwa woman of the match

Amefanya udada
 
Refa azifidie hizi dakika zilizopotea

Mpaka saizi mpira haujaanza tangu kipa apewe kadi nyekundu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…