Huyo Okwi ndo mana anawaendesha! Muda si mrefu anaenda Kampala! Si unajua bila Okwi Simba ni weupe tuNimegundua Okwiiiii ni Waziri wa Mambo ya Ndani. Na Boccooo ni Waziri wa Mambo ya Nje
This is Simba bhana
Form ya Djuma imetamalaki,wasiwasi wangu kocha mpya asije akaja na yake wakaanza upyaHii Ni Bali Ya Wale Waliokuwa na Mashaka na Uwezo Wa Masoud Djuma π π π
View attachment 682350
Form ya Djuma imetamalaki,wasiwasi wangu kocha mpya asije akaja na yake wakaanza upya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamkosi ya kuongea mbona huwa nipo toka mwanzoHaya bibie katika ubora wako.
Unasubiriaga kwanza mwishoni mwishoni
AhahahhHaya bwana, ana bahati lakini....
Hivi Kagera wiki hii walipoteza mchezo wao wa Mnyama siku gani?siku ya jumatatu wana kagera hatujawahi kupoteza mchezo wowote