Twamo
JF-Expert Member
- May 27, 2017
- 2,884
- 5,016
Huyo Okwi ndo mana anawaendesha! Muda si mrefu anaenda Kampala! Si unajua bila Okwi Simba ni weupe tuNimegundua Okwiiiii ni Waziri wa Mambo ya Ndani. Na Boccooo ni Waziri wa Mambo ya Nje
This is Simba bhana