Lol! Kuwa Na Moyo Basi Akifungwa We Unapata Nini??Bora simba afungwe tu, maana hamna namna ....
Daima simba ni halali afungwe maana hamna namna..
Kila LA kheri kagera sugar
Kama huna la kuandika kaa pembeni. Maneno ya mfa maji hayo.Kagera funga ao mbwa
Hahaha nilijua mbwa lazima waumieKama huna la kuandika kaa pembeni. Maneno ya mfa maji hayo.
LeoUnatujazia server, yaani uko peke yako umeng'ang'ana tu, si usubiri msipoteze tena leo Jumatatu?
wazee wa kununua mechi.Leo mikia fc ina hali mbaya sana
Mwisho wa ligi mtakimbilia fifa subir uoneHivi Vyura FC iko nafasi ya ngapi msimamo wa VPL?