Full Time: Kagera Sugar 0-2 Simba SC | Ligi Kuu Bara (VPL)

Full Time: Kagera Sugar 0-2 Simba SC | Ligi Kuu Bara (VPL)

Bora simba afungwe tu, maana hamna namna ....

Daima simba ni halali afungwe maana hamna namna..

Kila LA kheri kagera sugar
 
Okwiiiii namna gani hapa Okwi, Juma Kaseja anauwahi mpira
 
Kadi ya njano kwa John Boccooooo
 
Bora simba afungwe tu, maana hamna namna ....

Daima simba ni halali afungwe maana hamna namna..

Kila LA kheri kagera sugar
Lol! Kuwa Na Moyo Basi Akifungwa We Unapata Nini??
 
Adhabu kuelekea Kagera Sugar, anapiga Kwasiiiiii nje
 
41' bado milango ni migumu hapa uwanja wa Kaitaba
 
45+2 ' kuelekea kumalizika kwa kipindi cha kwanza hapa uwanja wa Kaitaba..

Naam mpira ni mapumziko, Kagera Sugar 0-0 Simba SC
 
Mo anahangaika kumfikishia bahasha ya kaki mexime kama alivyofanya kwa singida huenda mambo yakabadilika msiwe na wasi mashabiki wa mikia fc jeur ya pesa
 
Kaseja mechi iliyopita alipewa kadi nyekundu bado viongozi wa simba hawajagundua tu?
 
Rambirambi za mafisango hazijawaacha mikia fc salama peleken pesa ya watu kule congo
 
46' Mpira umeanza kipindi cha pili, hakuna mabadiliko kwa wachezaji pande zote mbili

Kagera Sugar 0-0 Simba SC
 
Asante Kwasi anafanyiwa faulo, ni adhabu kuelekea Kagera Sugar
 
Back
Top Bottom