Full Time: Kagera Sugar 0-2 Simba SC | Ligi Kuu Bara (VPL)

Naona Zile Kauli Za [HASHTAG]#YeboYebo[/HASHTAG] Kutuita "Baiskeli Ya Miti" zinapotea Kwa Kasi! Sijui [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] washausoma Mchezo Kuwa [HASHTAG]#Mnyama[/HASHTAG] anatumia Engine ya Jaguar Marahii!! πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Nimegundua Okwiiiii ni Waziri wa Mambo ya Ndani. Na Boccooo ni Waziri wa Mambo ya Nje

This is Simba bhana
Okwi anashangaza lakini. Inakuweje hii nilijua leo angevunja mwiko tokana na moto wa Singida
 
Huyu kocha msaidizi real amepanga kikosi vzr, huyu mzungu akizingua tunapiga chini, tunataka kila anayepita mbele yetu walau gori 5...


Simba for life
 
[HASHTAG]#YeboYebo[/HASHTAG] Jinsi Wanavyoukimbia Huu Uzi Baada Ya Mpira Kumalizika


 
Habari ndo kama mlivyosikia, bodaboda hawajatuangusha This is Simba bwana, WE MEAN BUSINESS!!!
 
Hii Ni Hali Ya Wale Waliokuwa na Mashaka na Uwezo Wa Masoud Djuma πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…