pachachiza
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,863
- 2,757
Nipe location nije mkuuNjoo na wewe tukutembezee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe location nije mkuuNjoo na wewe tukutembezee
Bora simba afungwe tu, maana hamna namna ....
Daima simba ni halali afungwe maana hamna namna..
Kila LA kheri kagera sugar
Okwi anashangaza lakini. Inakuweje hii nilijua leo angevunja mwiko tokana na moto wa SingidaNimegundua Okwiiiii ni Waziri wa Mambo ya Ndani. Na Boccooo ni Waziri wa Mambo ya Nje
This is Simba bhana
Kabisaa,Yaani Goli La Kwanza Linaingia Nikajikuta Napata Amani Ya Ghafura.Leo ni kupigwaa tu hawakuwa na namna
Haya bibie katika ubora wako.Woyoooooooooooo
Haya bwana, ana bahati lakini....He he Emanuel Okwi wangu nampendaga tu shunie mm
You cling on non-functional requirementsmnyama YANGU,watu wa kiswazi mpatanisho wa sarufi hapo vp