Full Time: Kagera Sugar 0-2 Simba SC | Ligi Kuu Bara (VPL)

Full Time: Kagera Sugar 0-2 Simba SC | Ligi Kuu Bara (VPL)

Ndemla. Anapiga gooo laaaa nje
 
Kichuyaaaaa, anawekwa chini hapa ni faulo

Inapigwa la la nje, 54 ' Kagera Sugar 0-0 Simba SC
 
Go go la la konaaaaa, inapigwa kona fupi hapaaa, Kagera wanaokoa
 
55' Juuko anapewa kadi ya njano
 
Mchezo ni mgumu sana hasa Kagera Sugar kucheza mpira wa kukamia

58 ' Kagera Sugar 0-0 Simba SC
 
62 ' Kagera Sugar wanafanya mabadiliko anatoka Athanas na anaingia Edward Christopher
 
Kocha Djuma anampa maelekezo Shomari Kapombe bila shaka anataka kuingia
 
Jaman msitukanane matusi mpira ni utan na furaha sio vizur kuwaingiza wazazi tuheshimiane
 
Back
Top Bottom