Full Time: KMC FC 1 -6 Yanga SC | NBC Premier League | KMC Complex | Februari 14, 2025

Utopolo tangu watoke droo na JKT wamekuwa hawajiamini kabisa.

Zile tambo zao za Gusa achia twende kwao huzisikii siku hizi😄😀😃

Sema Dube naye anawaangusha sana utopolo, amekuwa kama gari la mkaa. Trip Moja shamba trip Moja gereji😂
 
Hali ni mbaya mno 😃😃
 
Mechi ya Tabora inaniuma sana afu wameshapigwa na Kengold uko
 
Jinsi Utopolo mnavyoona msimamo wa ligi! Kila la heri KMC
IMG_5271.jpeg
 
Back
Top Bottom