Full Time: KMC FC 1 -6 Yanga SC | NBC Premier League | KMC Complex | Februari 14, 2025

Full Time: KMC FC 1 -6 Yanga SC | NBC Premier League | KMC Complex | Februari 14, 2025

Nimesikitika sanaa kwa akili hizo za uliye mqoute ndo maana wanasema wenye akili ni 2...

Kama ulikimbia hesabu hauwezi kuelewa abadani ,wanaojua hesabu wanaelewa mantiki yangu....Ingia youtube ujifunze Sequence and series - Arithmetic and geometric progressions
 
Mwaka huu ubaya ubwela kumamakeh...jino kwa jino, Hadi mechi ya mwisho tutafanya umafia wote mamaeh na Simba bingwa ..by the way mmeshampa pesa yote ikangalombo? Mana tuliwasiliana nae tukamwambia timu unayoenda kucheza ni mbovu na zaidi ni matapeli na huwarusha pesa wachezaji wake na Zaid huwabania zikija ofa nono, kwaio jamaa huko anataka signing fee yote mumuwekee kwenye akaunti mamaeh, la sivyo hachezi, na atarudi kwao au sisi mnyama tunaweza kumtafutia timu nyingine, Bado Kuna bomu la baleke.
 
Usinileteee nitakufukuza nayo...
Hahaha yaani wewe kama simba angekuwa mwanaume ungemtongoza akuoe asee sio kwa unavyompenda

Sema unatuchukia sana YANGA BINGWA Sijui kwann! Usiwe hivyo mtani!
 
Back
Top Bottom