Full Time: KMC FC 1 -6 Yanga SC | NBC Premier League | KMC Complex | Februari 14, 2025

Full Time: KMC FC 1 -6 Yanga SC | NBC Premier League | KMC Complex | Februari 14, 2025

Haijacheza bali hesabu za goli zile 5 alizofungwa Simba nov 5, KMC kaongezewa moja na kuwa jumla ya goli 6
Hivi mtaacha lini ushamba?? Kuna mtu alibamizwa na Simba kuliko utoo... 😀 😀 😀 😀
 
Mwanzo ilikuwa gap la pnt 1 ,leo ni gap la point 2 ,mkishacheza mnapigwa gap la point 3 means mchezo mmoja mbele na ndiyo inakuwa baba jeni bai bai....sisi huwa tunamaliza na michezo mitatu mkononi hahaaa.
Ukiona utopwinyo anaongoza ligi basi ujue Simba hajacheza..

Piga hesabu vizuri Mr 🐸🐸
Screenshot_20250214-183152.png
 
Ukiona utopwinyo anaongoza ligi basi ujue Simba hajacheza..

Piga hesabu vizuri Mr 🐸🐸View attachment 3236462
Ni sequence and series ,tulivyokuwa juu tulikuwa tumewazidi(45 vs 44) point moja ,tukatoa draw tukawa na 46 nyinyi mkapanda 47 ,leo tupo juu tumewazidi point 2(49 vs 47) ,umeona sasa tukiwa juu tena tutawazidi Point 3 huko mbele ambayo ni sawa na mchezo mmoja ,ni hesabu kaka hazidanganyi.
 
Historia haijaanza kwenye 1-5. Imeanza mbali mno na tutakufa tukiiacha ikiendelea kuwekwa.
kweli mkuu kuna mpinzani kukimbia uwanja baada ya bao 3 nayo ni historia
 
Back
Top Bottom