Full Time: KMC FC 1 -6 Yanga SC | NBC Premier League | KMC Complex | Februari 14, 2025

Full Time: KMC FC 1 -6 Yanga SC | NBC Premier League | KMC Complex | Februari 14, 2025

Hahaha,
Ngoja mkae hapo juu kwenye msimamo kwa muda..
KULA CHUMA HICHO.
1739545969213.png
 
1 - 6
Ahsante Yanga kwa zawadi ya Valentine's Day. Tunawapenda sana.
💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛
 
Ukiona utopwinyo kakwea kileleni basi ujue Simba hajacheza

Mwanzo ilikuwa gap la pnt 1 ,leo ni gap la point 2 ,mkishacheza mnapigwa gap la point 3 means mchezo mmoja mbele na ndiyo inakuwa baba jeni bai bai....sisi huwa tunamaliza na michezo mitatu mkononi hahaaa.
 
Back
Top Bottom