mriringa
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 663
- 714
Huyo mpanzu mtamkataa tarehe 8Inshaallah game itaisha kwa kmc kupata ushindi leo, ila tuwe wakweli kwa mara ya kwanza Baada ya miaka 3 mashabiki wa yanga 50% wanaihofia simba inaweza kubeba ubingwa, simba hii ya mpanzu kushoto kulia kibu moto utawaka msimu huu🔥
