Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Kamudomo hako boss.yaani historia imegoma kabisa, makolo wanaroga kumbukumbu isikumbushwe tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamudomo hako boss.yaani historia imegoma kabisa, makolo wanaroga kumbukumbu isikumbushwe tena
yaani inaniuma sana natamani goli 1 tu tukumbushe machunguSafu ya umalizia haijatundea haki kuna nafasi za wazi kabisa wamezipoteza
Tayari mkuu 😂yaani inaniuma sana natamani goli 1 tu tukumbushe machungu
hapa burudani mkuuTayari mkuu 😂
Wasijali iko siku watakumbushwa kuwa Yanga iliwahi kutundikwa bao sita mtungi(6-0) na Simba.shida wana hamu ya kukumbushia rekodi ya 1-5 likipatikana goli moja utaona wanatulia
kama ujawahi pigwa 1-5 basi mlaumu KMCnani alishawai kufungwa 1-5
🙄Haya matokeo sio mageni hapa mjini 😀
Ibada za kijimwambafu kupitia history yaani yaliyopita ni sumu mbaya mno inayoitafuna utopwinyo muda wote coz hamna jipya zaidi ya kuabudu yaliyopita 😂😂yaani historia imegoma kabisa, makolo wanaroga kumbukumbu isikumbushwe tena
Kamdomo kamdomo kamdomo 🙄Goooooo! 5 sasa inabidi yanga wafunge goli la 6 vinginevyo kina kolo wataumia sana kwa kuwa goli 5 zitawakumbusha kitu