Full Time: KMC FC 1 -6 Yanga SC | NBC Premier League | KMC Complex | Februari 14, 2025

Full Time: KMC FC 1 -6 Yanga SC | NBC Premier League | KMC Complex | Februari 14, 2025

Leo tena wamepewa penati mbili lakini wanalalamika simba inapewa penati kila mechi, kenge hawa
KMC FC Vs Yanga SC
| NBC Premier League
| KMC Complex
| Februari 14, 2025
🕖 10:15 Jioni
View attachment 3235945

Updates..

Dakika, 27 Bado Yanga wanaongoza goli 2

Dakika, 29 Yanga wanapata freekick

Dakika, 31 wamepata freekick lakini wanakosa kutumia nafasi

Dakika, 38 KMC wanapata freekick

Dakika, 39 KMC wanafanga mabadiliko ya wachezaji wawili

Dakika 2 zimeongezwa kukamilisha dakika 45 za kipindi cha kwanza.

Half Time: KMC 0 - 2 Yanga SC

Dakika 45 za kipindi cha pili zimeanza

Pacome amechukua nafasi ya Mzize

Dakika, 49 goooool Aziz Ki anawapatia Yanga goli la 3

Dakika, 51 KMC wanapata goli

Dakika,54 Sure boy anaingia kuchukua nafasi ya Aucho

Dakika, 56 Yanga wanapata Penati

Dakika,56 Aziz Ki akitupia goli 4 kwa Yanga na inakuwa Hat trick

Dakika, 61 Chama anachukua Mudathir Nondo anachukua Nafasi ya Bacca

Dakika,64 Nondo anakosa nafasi ya wazi ya kufunga goli.

Dakika,66 Duke Abuya anaingia kuchukua nafasi ya Aziz Ki

Dakika,67 Chilunda anaingia kwa upande wa KMC.

Dakika,69 Mchezaji wa KMC anapata kadi ya njano.

Dakika, 72 KMC wanafanya mabadiliko ya wachezaji wawili.

Dakika,80 Dube anakosa goli.
 
Back
Top Bottom