Full Time: KMC FC 1 -6 Yanga SC | NBC Premier League | KMC Complex | Februari 14, 2025

Utopolo tangu watoke droo na JKT wamekuwa hawajiamini kabisa.

Zile tambo zao za Gusa achia twende kwao huzisikii siku hiziπŸ˜„πŸ˜€πŸ˜ƒ

Sema Dube naye anawaangusha sana utopolo, amekuwa kama gari la mkaa. Trip Moja shamba trip Moja gerejiπŸ˜‚
 
Hali ni mbaya mno πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Utopolo wamekuwa kama wale wachekeshaji wanaojipaka masizi usoni ili wasijulikane.
Mie hii timu itakuja kunitoa roho siku ile nilikaa kwenye jua la utosi hadi game inaisha pale uwanjani walizingua sana kina dube
 
Mechi ya Tabora inaniuma sana afu wameshapigwa na Kengold uko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…