Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
KVZ FC 0 - 0 Yanga SC
| Robo Fainali ya Kombe la Muungano
| Aprili 26, 2025
| Robo Fainali ya Kombe la Muungano
| Aprili 26, 2025
kuna mechi leo?Watu wote macho yao yapo South Africa Moses Mabhida Stadium.
Wanapambania kombeWako kwenye bonanza
June nina mavuno ya mpunga huko Singida. Nimewaza niwaalike Utopolo waje kutoa burudani kwa wavunaji.Kwa kweli Utopolo imeshuka hadhi mno, hadi inatia huruma. Wanashiriki mashindano hata ya uwanja wa Gombani, Pemba huko
Haya ndiyo mashindano ya hadhi ya Yanga....kucheza na timu kubwa kimataifa ni kuidhalilisha Yanga kwani si level yake. Hawana tofauti na wale mabingwa wa Sudan Kusini wanaokwenda kucheza mechi nusu nusu, wengine wakipanda boda na mikokoteni na wengine bajaji.KVZ FC 0 - 0 Yanga SC
| Robo Fainali ya Kombe la Muungano
| Aprili 26, 2025
Yanga wenyewe hawa hapo wanafuatilia mechiNice