Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,537
- 133,017
Ilimfunga PSG jana na kuondoa unbeaten yao.Nice
Ilimfunga PSG jana na kuondoa unbeaten yao.Nice
🤣🤣🤣
Duu aiseeKuna watu wameumia mmh poleni jamani ila tu msiende kuroga uwanjani huko south
Mashabiki wa Yanga hawaumizi vichwa vyao kwenye mambo mambo madogo kama haya.Mechi imeisha na uzi hata page mbili za replies hazijafikaView attachment 3316713
Na ni ndogo kweli siyo hadhi yenuMashabiki wa Yanga hawaumizi vichwa vyao kwenye mambo mambo madogo kama haya.
Tumevuka, tupo nusu fainali kudadekiWananchi tunasema "hii tunavuka" 😅😅
Tunawasubiria kwa hamu mjichanganye. Na uzuri Zanzibar hakuna vichaka vya kujificha. Hivyo mtaingia tu kwenye 18 zetu.Tumevuka, tupo nusu fainali kudadeki
Kweli kabisa, KVZ hawakuwa na pa kujificha. Sema tumewapiga kidogo sio kama Fountain. Unajua kombe lenyewe halishawishi kutumia hongo kama tunavyofanya kwenye NBC ligi. Halafu kununua wachezaji ni rahisi kushinda kushawishi timu nzima.Tunawasubiria kwa hamu mjichanganye. Na uzuri Zanzibar hakuna vichaka vya kujificha. Hivyo mtaingia tu kwenye 18 zetu.
Nimecheka sana hii comment 😂 kwamba "Hatuishii Hapa" au sio?Wananchi tunasema "hii tunavuka" 😅😅
Katika ubora wetuNimecheka sana hii comment 😂 kwamba "Hatuishii Hapa" au sio?