anoldmedia
Member
- Aug 14, 2024
- 18
- 27
Ubingwa 5%Katika Mechi Ya leo umeridhika na kiwango kilichooneshwa na Hizi Timu mbili?
Unahisi Manchester hii Ya 2024/25 itakuwa hatari zaidi?
Kwa kiwango kilichooneshwa Unawapa asilimia ngapi United za Ubingwa?
Vipi kiwango cha Bruno leo? Kimekuridhisha?
πππUbingwa 5%
Bado mapema, pekee ninachoweza kusema kwa sasa ni timu imepiga hatua, inalazimisha. Na tumeanza vizuri na kama tukiendelea na ari hii tunaweza kuwa tishio.Katika Mechi Ya leo umeridhika na kiwango kilichooneshwa na Hizi Timu mbili?
Unahisi Manchester hii Ya 2024/25 itakuwa hatari zaidi?
Kwa kiwango kilichooneshwa Unawapa asilimia ngapi United za Ubingwa?
Vipi kiwango cha Bruno leo? Kimekuridhisha?