Full Time: Manchester City 1 - 2 Manchester United | Ligi kuu uingereza Etihad stadium

[emoji22][emoji22][emoji22]
City tumekumbwa na jini gani, na halitaki kutuachia.
Naumia mie, Aaaah
FB_IMG_17340859427862958.jpg

Evolution of Josep.
Since 10 Haag left Epl.
 
Tutaua mtu sisi ndio Manchester glory glory Manchester ×2 🎶
Mwe pa.oja nankushinda bado mpa nafasi ya ngapi vile 🤣🤣🤣
Ona wenzio atalanta tunaongkza ligi huko italia...sie ni mwendo wakugawa dozi tuu.

Umenikumbusha jamaa nilimuuliza wee una support timu gani akasema manchester united. Kwanza jina man, ikimaanisha mwanaume, pili, chest kifua...hivyo manchester united = umoja wa wanaume wente vifua
 
Bila sisi mpira humu duniani hauna mvuto😄😄😄
 
Back
Top Bottom