Full Time: Morocco 3 - 0 Tanzania | U-17 Africa Cup of Nations

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Ni kipindi cha pili, team zote hazijafungana.

Tanzania ipo kundi A inashika nafasi ya nne ikiwa na point 1 katika michezo mitatu iliyocheza ukiwemo huu (miwili iliotangulia Tanzania wamepigwa).
 
Dakika ya 56, Morocco wamepata kona hapa..
 
Kama hawa madogo ndio baadae Taifa stars ,basi tuna safari ndefu sana
 
Sina hakika kama hawa ni under 17 kutoka Tanzania
 
Tunapwaya sana kwente defense
 
Huyu namba 9 wa Morocco "Baha" atatupiga chuma
 
Kuna pira linachezwa na Wamorocco aisee
 
Tukidroo na hawa jamaa na sisi tujipongeze ingawa tunatoka
 
Bonge la header qmmk
 
Ubao unasoma Morocco 1 Tanzania 0
 
Sisi tunaweza umbea na tiktok mpira sio kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…