Full Time: Morocco 3 - 0 Tanzania | U-17 Africa Cup of Nations

Full Time: Morocco 3 - 0 Tanzania | U-17 Africa Cup of Nations

hq720.jpg

Huyu dogo ndio katuweka. Kila mechi anatupia ana goals 3 hadi sasa.
 
Ni mwendo wa headers tu
 
Namba 11 ame assist hafu namba 8 Ouazane ametupia header
 
Free kick za Aziz Ki kama wana mpigaji mzuri chuma ya tatu
 
Bonge la free kick moja kwa moja
 
Dogo kala umeme red ♥️ card
 
Tatizo hatuandai vijana mapema afu tunafanganya sana. Hawa watoto wa Morocco wako na 17 yo ila wetu eti wana 15 yo ukiwaona unajua kabisa wengi ni 20+
 
Kona dakika za mwisho mwisho
 
Dakika ya 97 mpira umeisha
 
Back
Top Bottom