Tumekwisha mkuuDogo kala umeme red ♥️ card
Mzee Kabisa huyuMi sina degree ya mambo ya umri ila uyu mwamba hana miaka 15..
View attachment 3295296
Tatizo wale sio vijana 😃😃Yaani katika mechi 3 tumefunga goal 1 tu na kupigwa magoli 10.
Hii nchi kila kitu janja janja.