Full Time| Mtibwa Sugar 1 -1 Yanga SC | Ligi kuu NBC | Jamuhuri stadium | Machi 21, 2025

Yanga ipo katika anguko lake n muda wa kukubal matokeo na kuanza upya kujenga kikosi bila papara

Tukokaza shingo tutatumia miaka 4 mingine kurud kwenye ubora wetu hata simba walishupaza hvhv lakn mwishowe walikubal

Muda wa kuacha wachezaj ambao washajichokea bila kuangalia majina yao weng n over 30
 
Yanga, Simba, Azam ni mwendo wa sare, Kocha yanga ni tatizo, wakijastuka itakuwa too late, Azam ni hatari kwa Simba na Yanga, akishinda kesho gap linabaki point 5, namtabiria Azam ubingwa msimu huu✍️✍️✍️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…