min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Kuwa bingwa ni ubovu wa simba tuHapana sio kifo hata msimu uliopita kuna muda walifungwa mechi mbili mfululizo na bado wakawa mabingwa
Kuwa bingwa ni ubovu wa simba tuHapana sio kifo hata msimu uliopita kuna muda walifungwa mechi mbili mfululizo na bado wakawa mabingwa
Mpira huo ni kawaida sana! Kumbukeni Yanga bado kawazidi point 10! Tunaenda mapumziko mpaka April kukiwa na gepu hilo la point! Kwa hiyo sioni anguko lolote hapo! Ni mtu mpumbavu tu ndiye anaweza kusema Yanga imeisha! Ukiambiwa kuwataja wachezaji walio above 30 utawapata wangapi? Anafungwa Liverpool Seuse Yanga kusare?Yanga ipo katika anguko lake n muda wa kukubal matokeo na kuanza upya kujenga kikosi bila papara
Tukokaza shingo tutatumia miaka 4 mingine kurud kwenye ubora wetu hata simba walishupaza hvhv lakn mwishowe walikubal
Muda wa kuacha wachezaj ambao washajichokea bila kuangalia majina yao weng n over 30
Yeah hata mwaka huu wanaweza kuwa mabingwa tena maana hata simba nao wabovu badoKuwa bingwa ni ubovu wa simba tu
Utabiri wa kindezi huo!Yanga, Simba, Azam ni mwendo wa sare, Kocha yanga ni tatizo, wakijastuka itakuwa too late, Azam ni hatari kwa Simba na Yanga, akishinda kesho gap linabaki point 5, namtabiria Azam ubingwa msimu huu✍️✍️✍️
Tia maji tia maji tu , yanga huwa inakaza simba ikiwa inakaza😅Yeah hata mwaka huu wanaweza kuwa mabingwa tena maana hata simba nao wabovu bado
We nawe takataka Simba ana game ngapi mkononi?Yanga, Simba, Azam ni mwendo wa sare, Kocha yanga ni tatizo, wakijastuka itakuwa too late, Azam ni hatari kwa Simba na Yanga, akishinda kesho gap linabaki point 5, namtabiria Azam ubingwa msimu huu✍️✍️✍️
Azam hachukui ubingwa msimu huu, angalau uchezaji wa Simba unaona kuna improvement zaidi hasa baada ya maingizo mapya ya dirisha dogo. Anachifanya Ibenge na Pedro wa Yanga hakuna tofauti wote wanaiporomisha viwango vya wachezaji mdogo mdogo. Huo ndiyo ukweli japo ni mwana Yanga, na aliyeiua Yanga msimu huu ni Eng Hersi kwasababu zifuatazoYanga, Simba, Azam ni mwendo wa sare, Kocha yanga ni tatizo, wakijastuka itakuwa too late, Azam ni hatari kwa Simba na Yanga, akishinda kesho gap linabaki point 5, namtabiria Azam ubingwa msimu huu[emoji3578][emoji3578][emoji3578]
Azam hachukui ubingwa msimu huu, angalau uchezaji wa Simba unaona kuna improvement zaidi hasa baada ya maingizo mapya ya dirisha dogo. Anachifanya Ibenge na Pedro wa Yanga hakuna tofauti wote wanaiporomisha viwango vya wachezaji mdogo mdogo. Huo ndiyo ukweli japo ni mwana Yanga, na aliyeiua Yanga msimu huu ni Eng Hersi kwasababu zifuatazo
1)Sifa na ujeuri ukamfanya achanganye siasa na mpira kwa kitendo kisicho na uungwana wa kuichangia CCM wakati timu ina wapenzi na mashabiki mbalimbali wa itikadi mbalimbali. Wengi walilaani na wengine wakajikalia pembeni kwa ujinga wa watu wachacbe
2) Kuachwa kwa Gamondi na Miloud kizembe sana kisa Eng Hersi akajiona anajicho la mbali kuchagua makocha wazuri. Gamondi kulikuwa na sababu kulingana na viongozi lakini Miloud aliyewapa Yanga makombe yote kisha mwisho wa msimu wakamuacha njia panda bila kukaa nae mezani kwa mkataba mpya alikuwa na lengo lipi?
Sahivi ni mwendo wa kuboronga tu upande wa scouting baada ya kushindwa kuheshimu na kumbatia vile bora unavyopata. Alivyofanikiwa kwenye replacement ya Nabi kwa Gamondi akajiona ni Perez
Haponkwa Miroud tuache ujinga, yaani ukitaka mabaki Yanga kwenye mshahara ya shilingi 2 aache mshahara wa mamilioni? Tuache siasa za kijinga! Hayo ya mwanzo ulikuwa sahihi lakini hapo kwa Miroud umechemka hatuna hela za kushindana na Waarabu!Gamondi kulikuwa na sababu kulingana na viongozi lakini Miloud aliyewapa Yanga makombe yote kisha mwisho wa msimu wakamuacha njia panda bila kukaa nae mezani kwa mkataba mpya alikuwa na lengo lipi?
Mkuu, huyo Azam mwenyewe mbona ndio ana hali mbaya? Tena niwapongeze kwa uvumilivu maana kwa matokeo na mwenendo wa Azam, kama Ibenge angefanya hivi akiwa Kkoo, muda huu angekuwa anacheza na wajukuuYanga, Simba, Azam ni mwendo wa sare, Kocha yanga ni tatizo, wakijastuka itakuwa too late, Azam ni hatari kwa Simba na Yanga, akishinda kesho gap linabaki point 5, namtabiria Azam ubingwa msimu huu✍️✍️✍️
Tuache kuishi katika maisha ya kukariri kwamba kila timu kutoka uarabuni ina pesa nyingi kuliko timu zetu za bongo. Hao Ismaily sio timu ya kuweza kushindana na Yanga kwa level iliyopo sasa. Angalia project ya Ismaily wanavyounga unga misimu miwili inaangaika na kushuka daraja, wangekuwa wana pesa ungeona wanakuwa na project iliyo serious kwa kufanya usajili wa wachezaji wa viwango.Haponkwa Miroud tuache ujinga, yaani ukitaka mabaki Yanga kwenye mshahara ya shilingi 2 aache mshahara wa mamilioni? Tuache siasa za kijinga! Hayo ya mwanzo ulikuwa sahihi lakini hapo kwa Miroud umechemka hatuna hela za kushindana na Waarabu!
Madogo wamekaza sio!