Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Simba rarua hao Mwadui bao mbili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shunie kumbe!!! MmmmmhMnyama kwenye ubora wake ule ule
Lowasa anaingiaje huku?Jipeni matumaini kama Lowasa
Lowasa anaingiaje huku?
achana na huyu dogo. dish limeyumbaAnaleta Undee Apa Anajifanya Ajuhi!
Sioni sababu lakini. Sema tu naheshimu mawazo yako.Kama ilivyo andikwa mkuu
Sioni sababu lakini. Sema tu naheshimu mawazo yako.
achana na huyu dogo. dish limeyumba
Mkuu haji manara yupo wapi mkuuMungu ibariki simba sports club iibuke na ushindi mnono wa mabao 6 kwa bila.
Mkuu haji manara simwoni yupo wapiMUNGU ibariki SIMBA
Sijaelewa hapo dk ya 29 na hapo dk ya 33.Bocco anatoka anaingia Mavugo, bocco kajeruhiwa.
Tupeni zaidi ya 4g
Jipeni matumaini kama Lowasa
Muda utaongeaKujifariji imo.
Nimefanyaje tena mmShunie kumbe!!! Mmmmmh
Unashambikia liteam libovu.Nimefanyaje tena mm
Imeshawekwa ebu soma tene kule juuTuwekee na starting XI ya Mwadui FC
This is Simba... Nguvu moja hatupoiKila la heri Mwadui Fc
Kuingia kwa Mavugo hakuna matumaini pale mbele. Labda Okwi afanye vitu vyake.Bocco anatoka anaingia Mavugo, bocco kajeruhiwa.