Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,365
Walikuwa Wangapi!???Matokeo mazuri kwa Mwaduni kwani anakwea hadi nafasi ya 8
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikuwa Wangapi!???Matokeo mazuri kwa Mwaduni kwani anakwea hadi nafasi ya 8
Hali ni nzuri kabisa, kama unavyoweza kuona uwanja hapo juu
Asa huko mkiani si ndo mwenye mkia ni simba??????Leo Vipiiii Jamani Mbona Iviiii.
Inmaana Pengo La Kwasi Linaonekana Ama!!!!
Siku Ovyooo Kabisaa Leo.
Ivi Awa Maaduhi Wanajifanya Kukaza Ivi Alafu Wako Mkiaani kule ndo Nini!!!!!
Amina njoo msimbazi nikupe kadi au unayo?Walikuwa Wangapi!???
Mmmmmh! Ili iweje?MUNGU ibariki SIMBA
Basi Ndala Meno Njeee Lol!!!
Hapana SinaAmina njoo msimbazi nikupe kadi au unayo?
Ulivyotaka WewekWANI wewe ulitakaje???!!!
Shunie vipi matokeo dada yangu?Sasa hivi imeshuka
Hahaha hamna uchawikama wewe ni Yanga huu ni uchawi
Hii inaitwa Adui muombee njaa, bahati yake kaonewa huruma kapewa Maji ya kunywa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu unashabikia mwadui kwa mkopo? Maana nakufahamu wewe ni shabiki kindandaki wa Yanga😀😀😀😀
AiseeeIkatokea matokeo yakawa Hivyo, Itabidi nikutafute nikupe chupa y'a wine kama ni mtumiaji .
Mwanzoni haikuwepoImeshawekwa ebu soma tene kule juu
Wooooiiii najua mtaanza kutafutana...muda utasemaThis is Simba... Nguvu moja hatupoi