Full Time: Mwadui FC 2 - 2 Simba SC kutoka dimba la CCM Kambarage, Sinyanga

Full Time: Mwadui FC 2 - 2 Simba SC kutoka dimba la CCM Kambarage, Sinyanga

Leo Vipiiii Jamani Mbona Iviiii.
Inmaana Pengo La Kwasi Linaonekana Ama!!!!
Siku Ovyooo Kabisaa Leo.

Ivi Awa Maaduhi Wanajifanya Kukaza Ivi Alafu Wako Mkiaani kule ndo Nini!!!!!
Asa huko mkiani si ndo mwenye mkia ni simba??????
 
4535f2909b61addc0d623f1004dede4e.jpg
 
Asanteni Mwadui tunashukuru kwa kazi nzuri,hawa vilaza tumewazoea wanakomaa ila mwishoe wenye kombe letu tunanyanyua kama kawa ila Mikia mnakera sana kututegea kwenye ubingwa na sisi tunachoka jamani duh.
 
Mkuu unashabikia mwadui kwa mkopo? Maana nakufahamu wewe ni shabiki kindandaki wa Yanga😀😀😀😀
Hii inaitwa Adui muombee njaa, bahati yake kaonewa huruma kapewa Maji ya kunywa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tunaenda mdogo mdogo point 7 mpaka 5, mwishoni ubingwa Jangwani
 
OTE="Mwana Mtoka Pabaya, post: 25796984, member: 82640"]Hivi magoli ya penati yana ladha kama lili la Tshishimbi?[/QUOTE]
Waambieer hao Mikia FC.
 
Back
Top Bottom