Full Time: NBC PL | Azam FC 0-0 Yanga SC | Mkapa Stadium | 15/03/2026

Mechi kati ya Azam na Yanga uwanja wa Mkapa inapigwa leo 15 Machi 2026 majira ya kuanzia 2:30. Kwenye msimamo wa Ligi Azam inashika nafasi ya 3 ikiwa na point 27 huku Yanga ikiwa ya 1 na point 35.

Timu zote 2 hazijawahi kupoteza mchezo, na leo Yanga yuko ugenini.
 
Yanga kama kawaida yao kwenye mechi kubwa wanapoteana na kucheza mpira wa hovyo. Hamna kcha humu
Yanga wafukuze haraka sana huyu kocha wa mchongo.

Yanga anachezeshwa nusu uwanja na Azam.

Huyu kocha ni kiande na nusu.
 
balaa tupu taifs kha

deposit tupe kamija ka lala salama basii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…