Kocha angeamua kumchezesha Dube na kumwacha DepuKocha anatakiwa ajitathmini kwenye upangaji wake wa kikosi kutegemea na timu husika. Kuna mechi siyo za kuwapanga wachezaji aina ya Depu na Allan Okello. Leo kiujumla timu ilicheza hovyo kwa sababu tu ya upangaji hovyo wa kikosi. Amechezesha washambuliaji watatu mbele, halafu akaua kiungo cha ukabaji! Lengo lilikuwa ni lipi sasa!
Halafu Bakary Mwamnyeto kama uko humu jukwaani, na wewe unatakiwa ujitafakari kama una sifa kweli ya kucheza timu kubwa kama Yanga! Yale makosa yako mawili yangebadilisha kabisa matokeo ya timu.
Kwa hiyo tukusaidiaje?Msisahau simba kwa Azam alikaa 2:0
Kumbukumbu mhimuKwa hiyo tukusaidiaje?
Kocha alifikiri Azam ni sawa tu na Mashujaa Fc! Anamtoa Mudathir, anamuingiza Pacome! Huku Depu na Okello akiwaacha waendelee tu kutembea uwanjani!Kocha angeamua kumchezesha Dube na kumwacha Depu
Halafu akacheza Damaro maana Abuya alisimbuka mno kuwakaba viungo wa Azam walikuwa wengi
Coach ana mbinu za uoga mnoKocha alifikiri Azam ni sawa tu na Mashujaa Fc! Anamtoa Mudathir, anamuingiza Pacome! Huku Depu na Okello akiwaacha waendelee tu kutembea uwanjani!
Sare ya jana na kiwango kibovu cha timu kilichangiwa pakubwa na upangaji wake mbovu wa kikosi.
Ndani ya muda mfupi nimegundua pia Depu ni mchezaji wa mechi ndogo! Kwenye mechi kubwa zote alizopata nafasi ya kucheza, hakuwahi kufurukuta! Allan Okello naye ana kipaji kikubwa cha mpira! Ila haonaekani kuwa na stamina ya kutosha, na pia amekuwa akicheza kwa tahadhari sana.