Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Leo saa 4:00 Usiku kwa masaa ya Afrika ya Mashariki, kutakuwa na pambano la Uefa Super Cup katika dimba la taifa la Poland.
Bingwa wa Uefa Champions League atamenyana na bingwa wa Uefa Europa League.
Real Madrid Vs Atalanta
Dunia inaenda kumshuhudia Mbappe kwa mara ya kwanza akiwa ndani ya uzi wa Madrid.
Tukutane kuanzia Saa 4:00 kwa live updates
Kabumbu itakuwa mubashara kupitia Dstv chanel 225