hakomana sekemesekeme
JF-Expert Member
- Oct 15, 2023
- 646
- 1,568
hala madrd
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi mkuu?Nimepoteza hela nyingi sana kutokana na mchezo huu !!
Mkeka ndugu yangu...Kivipi mkuu?
Madrid kashindaMkeka ndugu yangu...
Option ipi uliweka??Mkeka ndugu yangu...
Atalanta 1-0Option ipi uliweka??
huyo hakuwa bet yanguMadrid kashinda
Anha dah pole mkuu ila wengi wametembea na direct win wamepiga elaAtalanta 1-0
Bila mtu kama Toni Kroos na Luka Modric maisha ya Mbape Madrid yatakuwa magumu maana Huwa anategemea apenyezewe pass achomoke mkimbizaneHv huyu kocha wa Antlanta timu kubwa hazimuoni au?
Hii timu typically inabebwa na uwezo wa mbinu za huyu kocha...!!
Madrid wanakosa mtu wa kupiga penetration passes zile za kama Ton kroos...pengo lake linaonekana kbsa....valderve na Tsuamen hawana uwezo wa kupiga hizo pass...hapo ndipo umuhimu wa Modric unakuja..
Mbape siku zote makali yake hayaonekani akicheza mshambuliaji wa kati..anakosa ule uhuru wa kutokea pembeni na kuingia ndan na mpira ambapo ndo anakuwa hatari sana!!
All in all atlanta wamekuwa na gemu nzuri sana!! Sikutegemea