Full Time: Real Madrid 2-0 Atalanta | UEFA Super Cup | Poland National Stadium | 14.08.2024

Full Time: Real Madrid 2-0 Atalanta | UEFA Super Cup | Poland National Stadium | 14.08.2024

FULL TIME_20240814_235200_0000.png
Klabu ya Real madrid 🇪🇸 imeichapa Atalanta 🇮🇹 magoli 2 kwa 0 kwenye Mchezo wa Uefa super Cup uliochezwa usiku huu.

Wafungaji wa Mabao ya Madrid ni Valverde pamoja na Mbappe.

#Ontime #anoldmedia
 
Hv huyu kocha wa Antlanta timu kubwa hazimuoni au?

Hii timu typically inabebwa na uwezo wa mbinu za huyu kocha...!!

Madrid wanakosa mtu wa kupiga penetration passes zile za kama Ton kroos...pengo lake linaonekana kbsa....valderve na Tsuamen hawana uwezo wa kupiga hizo pass...hapo ndipo umuhimu wa Modric unakuja..

Mbape siku zote makali yake hayaonekani akicheza mshambuliaji wa kati..anakosa ule uhuru wa kutokea pembeni na kuingia ndan na mpira ambapo ndo anakuwa hatari sana!!

All in all atlanta wamekuwa na gemu nzuri sana!! Sikutegemea
Bila mtu kama Toni Kroos na Luka Modric maisha ya Mbape Madrid yatakuwa magumu maana Huwa anategemea apenyezewe pass achomoke mkimbizane
 
Back
Top Bottom