nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Score 808Mwenye link au app nzuri ya kuangalia hii gemu naomba aweke hap
Wakiongeza umakini wanapata goliAtlanta wanakuja kwa speed sana
Sahihi kabisaAtalanta wanajua kufanya pressing aisee, wanawalazimisha Real wafanye makosa.
Hiyo mzee inatembeza MB hatari 480P si mchezo, nimeona niende zangu Yaccine ina uwanja mpana wa kuchagua qualityScore 808
Kila mbuzi ale urefu wa kamba yakeHiyo mzee inatembeza MB hatari 480P si mchezo, nimeona niende zangu Yaccine ina uwanja mpana wa kuchagua quality