Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
- Thread starter
-
- #21
Leo kuna mchezo wa marudiano baina ya Real Madrid vs Man City.
Ni mchezo wa aina yake mara baada ya mechi ya kwanza ambapo Real Madrid aliibuka na ushindi wa 3-2.
Je Man City wafanyeje ili waweze kufuzu?
Mechi ni saa 5:00 usiku
City hana chake hapa, japo kwenye football lolote laweza tokeaMadrid anakiwasha
Kapigwa goli za chap chapKuna livakuku kule naye Hali tete
Tayari 2 bado 1Madrid jeshi anashinda 3bila
City hana chake hapa, japo kwenye football lolote laweza tokea
Mpe salamu mama jWatoto WA alfu mbili na city yenu, mkalale Sasa😅
Kweli aisee. Gsm anaendesha Yanga huku anadhamini wapinzani wake. Huu si wizi wa mchana kweupe.Huku sasa ndipo soka lilipo sio mambo yenu ya Namungo