Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
- Thread starter
- #41
Mapumziko
Madrid 2-0 City
Aggregate: 5-2
Madrid 2-0 City
Aggregate: 5-2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazingaombwe ni mengiKweli aisee. Gsm anaendesha Yanga huku anadhamini wapinzani wake. Huu si wizi wa mchana kweupe.
Hiyo 5_2 maana yakoMadrid 2-0 City
Aggregate 5-2
Jumla ya mabao ya mechi ya kwanza na ya leo marudianoHiyo 5_2 maana yako
Ngoja tuone naona haland anapashaJumla ya mabao ya mechi ya kwanza na ya leo marudiano
Vini akifunga hapata kalikaBado kuna dakika takribani 30 za kucjeza🤣🤣
Gurdiola ameuza mechi Kama Yule kocha WA singida big star amepanga kikosi kibovuPamoja na kichapo,
Guardiola atalaumiwa Kwa kikosi alichopanga Leo, hasa Safi ya mbele
Na leo amekosa nafasi ya kufungaVini akifunga hapata kalika
Sijajua ila naona psg wameanza kuwa moto sana.Madrid labda apangwe na Barcelona lakini hizi timu nyingine haziiwezi