Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Simba SC v Kaizer Chiefs CAF Champions League Preview with Samir Nurkovic & Happy Mashiane

Amazing feeling and looking happy for today's game against Simba SC in Dar es Salaam ... there are news coming out of Simba SC having history of turning over things, what do you think about this ...
Source : Front runner
 
Leo mtu ananyolewa ndevu kwa chupa.
IMG_20210522_135801.jpg

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Sioni picha zikirushwa kutoka uwanja wa Mkapa,hi inamanisha hii mechi ya leo ni ngumu sana...Au mageti ya uwanja hajafunguliwa?
 
Zipo huko Facebook kwenye ukurasa wa caf naona wanapost matunguri na mapaka tuu. Aibu kubwa kwa nchi wanafikiri ule ukurasa unasomwa na watu wa mbagala tuu
 
Zipo huko Facebook kwenye ukurasa wa caf naona wanapost matunguri na mapaka tuu. Aibu kubwa kwa nchi wanafikiri ule ukurasa unasomwa na watu wa mbagala tuu
🤣🤣 Waone aibu wakati hata korona iliogopa hizo vitu..
Utanzania raha nyie 🤣
 
Zipo huko Facebook kwenye ukurasa wa caf naona wanapost matunguri na mapaka tuu. Aibu kubwa kwa nchi wanafikiri ule ukurasa unasomwa na watu wa mbagala tuu
Hi ndo shida ya Simba wanaamini matunguli yatawasaidia....
 
Thank you very much Mr Joseverest for considering those of us who would like to follow up this game through this platform but faces language barrier.

I hope you keep updating us through both languages.
 
Back
Top Bottom